Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa JICA nchini aliyemaliza muda wake
Bw. Tomonari Shinya (kushoto) na Mwakilishi Mkazi Mwandamizi mpya wa JICA
nchini Bw. Takizawa Koichi (kulia) wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Ofisi
ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya
kumuaga Bw. Tomonari Shinya iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi mapema
leo .
|