Msemaji wa Wizara ya Fedha, Bi. Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma iliyofanyika katika Hoteli Njuweni Kibaha. |
Washiriki wa warsha kuhusu maboresho ya matumizi ya fedha za umma iliyofanyika katika Hoteli ya Njuweni Kibaha |
Washiriki wa warsha kuhusu maboresho ya matumizi ya fedha za umma iliyofanyika katika Hoteli ya Njuweni Kibaha |
Bloggers wakiwa katika warsha kuhusu maboresho ya matumizi ya fedha za umma iliyofanyika katika Hoteli ya Njuweni Kibaha |