Mmoja wa Wajumbe wa
mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika kutoka Afrika
Kusini Bi.Colette Clark akipokewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y.
Sefue katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam leo.
Taswira ya moja ya eneo mkutano wa Wakuu wa Utumishi Barani Afrika utakapofanyika.
Mmoja wa Wajumbe wa
mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika kutoka Sierra Leone Bw. Ernest Surrur (kushoto) akipokewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y.
Sefue katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja wa Wajumbe wa
mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika kutoka Rwanda
Bw. Gaspard Musonera akipokewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y.
Sefue katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam leo.