Mchezaji wa Ofisi ya Rais,
Utumishi Lilian Sylidion (GK) akinyaka mpira na kuwazidi wachezaji wa CDA
Dodoma katika mechi iliyochezwa jana ya
mashindano ya Mei Mosi 2014 katika
Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mchezaji wa CDA ya Dodoma
(mwenye mpira) akijianda kutoa pasi kwa huku akiwa kazingirwa na wachezaji wa
Utumishi katika mechi iliyochezwa jana katika mashindano ya Mei Mosi 2014
yanayoendelea katika Uwanja wa Jamhuri
mjini Morogoro.
Mwadawa Twalibu (GA) wa timu
ya Ofisi ya Rais Utumishi akijiandaa kuchukua mpira licha ya upinzani wa
wachezaji wa CDA Dodoma katika mashindano ya Mei Mosi 2014 yanayoendelea
katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mchezaji wa Ofisi ya Rais, Utumishi
Sophia Komba (C) akijiandaa kutoa pasi
kwa Fatuma Machenga (GS) katika eneo la goli la wapinzani wao CDA Dodoma katika
mashindano ya Mei Mosi 2014
yanayoendelea katika Uwanja wa Jamhuri
mjini Morogoro.