Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akiongoza kikao
cha maandalizi ya Mkutano wa kumi na mbili (12) wa Wakuu wa Utumishi wa
Umma wa nchi za Afrika Wanachama wa Jumuiya ya Madola utakaofunguliwa leo.
Katibu Wakuu na watendaji mbalimbali wakijadili wakati wa
kikao: kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu . Dkt. Florens Turuka,
akifuatiwa na Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimneti ya Utumishi wa Umma
Bw. HAB Mkwizu na Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhem James
Meru.
Taswira
ya moja ya eneo mkutano wa Wakuu wa Utumishi Barani Afrika utakapofanyika.