Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia akihutubia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es salaam |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Said Meck Sadiq akihutubia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam |
Kikundi cha burudani cha Machozi Theatre kikitoa burudan kwenye maadhimisho hayo. |
Baadhi ya watumishi wa Idara ya Uhamiaji wakiwa kwenye maandamano |
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa tayari kwa kuanza maandamano kuelekea viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam |