Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Dkt. Pindi Chana akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu
maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika Tarehe 8, Machi kila
mwaka, Wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari leo Mjini
Dodoma. Kulia ni Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bi.
Jovina Bujulu |