Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Hassan Kitenge (kulia) akiwasilisha mada kwa njia ya kielektroniki (video conference) katika kikao kazi kati ya Utumishi na Mikoa ya Tanga,Dar es Salaam,Morogoro na Mwanza kilichofanyika ukumbi wa Utumishi mapema leo. |
No comments:
Post a Comment