Thursday, 13 March 2014
Samia Suluhu arudisha Fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bunge Maalum la Katiba
![]() |
| Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Thomas Kashilila akisaini fomu za mgombea Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. |
Tanzania Kuwa na Ubalozi wa Tanzania Nchini Korea.
![]() |
| Wajumbe wa Kamati za Mambo ya Nje za Tanzania na Korea wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda wakati wa kikao kilichofanyika mapema leo Mjini Dodoma |
Tuesday, 11 March 2014
MISA's Women to Watch in 2014:HOYCE TEMU
Hoyce
is a communications specialist with the United Nations from Tanzania
and has been chosen as one of MISA’s 2014 Women to Watch. Every year,
on 8 March, people all around the world celebrate International Women’s
Day. To commemorate the day in 2014, we are unveiling MISA’s Women to
Watch – 12 women ...
For more information follow the link below;
Taswira za Bunge la Katiba mjini Dodoma leo
![]() |
| Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba Bw. Augustino Mrema akimweleza jambo Mjumbe mwenzie Bw. Islaim Aden Rage leo Mjini Dodoma. |
![]() |
| Mjumbe wa Bunge maalum la katiba Bw. Ally Kessy akiwaeleza jambo jambo Wajumbe wenzie Bw. Edward Lowassa (katikati) na Almas Maige ndani ya ukumbi wa bunge leo mjini Dodoma. |
Subscribe to:
Posts (Atom)















