Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiongea na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) na kuwaasa kutumia kalamu vizuri hasa katika kipindi hiki cha uandaaji wa katiba mpya kwa maslahi ya Taifa, kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment