Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) katikati akiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania kuhusu Mashirikiano katika Utumishi wa Umma katika miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, kulia ni Mh. James Mbatia, kushoto ni Mtangazaji wa TBC Shaban Kissu. |
No comments:
Post a Comment