![]() |
| Maziwaya watoto aina ya SMA 1,2 na 3, Promil Gold, S-26 Gold, Nursoy, Progress Gold, Cow &Gate, Isomil 2 na Infacare Soya , Nutrikids na Aptimil 1 yaliyokamatwa ambayo hayajasajiliwa na TFDA . |
Thursday, 3 April 2014
TFDA YATOA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MADUKA YA BIDHAA ZA VYAKULA JIJINI DAR, YAWATAKA WANANCHI KUJENGA UTARATIBU WA KUSOMA MAELEZO YA BIDHAA KABLA YA KUNUNUA.
Wednesday, 2 April 2014
Tahadhari kwa wananchi!!!!!
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI
YA RAIS
MENEJIMENTI
YA UTUMISHI WA UMMA
Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inawatahadharisha wananchi wote, ndani
na nje ya nchi kujihadhari na watu wanaotumia jina la Utumishi kuwaibia fedha na
kupoteza muda wao kufuatilia jambo ambalo halipo.
Watu
hao wanatumia majina yafuatayo katika mitandao;
Saving
Foundation Loans na Jakaya Foundation kwa
anuani http://savingfoundation.wapka.mobi/index.xhtml
na kuelekeza kuwa Makao Makuu yapo
kwenye jengo la UTUMISHI.
Namba
za simu zifuatazo zimekuwa zikitumika kuwatapeli wananchi watume fedha;
0715-373307, 0656-037520 na 0762-269376.
Wananchi
epukeni kurubuniwa na watu hao kwani Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma haijishughulishi na kutoa mikopo ya aina yoyote kwa wananchi.
Tangazo
limetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
2
Aprili, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)








