Vibrant

Sunday 23 February 2014

ANNOUNCEMENT FOR VACANT POSTS IN THE EAST AFRICA COMMUNITY SECRETARIAT AND ITS INSTITUTIONS


Applications are hereby invited from qualified and experienced Tanzanians for the following vacant posts advertised by the East African Community (EAC) and its Institutions.

S/N
JOB TITTLE
DUTY STATION
1.
Director of Trade
Arusha
2
Director of Finance
Arusha
3
Principal Economist (Fiscal and Monetary Affairs)
Arusha
4
Principle Trade Officer (International Trade)
Arusha
5
Senior Trade Officer (Competition)
Arusha
6
Principal Customs Officer (Tariffs & Valuation)
Arusha
7
Principal Labour and Employment Officer
Arusha
8
Principal Administrative Officer
Arusha
9
Principal Civil Aviation Officer
Arusha
10
Senior Public Relation Officer
Arusha
11
Senior Conference Officer
Arusha
12
Principal Clerk Assistant
Arusha
13
Senior Clerk Assistant
Arusha
14
Clerk Assistant
Arusha
15
Sergeant-at-ARMS
Arusha
16
Court Administrator
Arusha
17
Personal Assistant
Arusha
18
Network Administrator
Arusha
19
Court Recorder/Transcriber
Arusha
Additional information about the posts is provided on the EAC website www.eac.int.

Friday 21 February 2014

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YA MWAKA 2013

Baraza la Mitihani Tanzania limetangaza rasmi matokeo ya mtihani wa kidato cha nne kwa mwaka 2013.Kusoma zaidi BOFYA HAPA

Thursday 20 February 2014

Viongozi wa Vilabu vya michezo ya SHIMIWI kunolewa Februari 24



Shirikisho la Michezo Wizarani (SHIMIWI) limeandaa mafunzo ya uongozi,ualimu wa michezo na huduma ya kwanza viwanjani   kwa viongozi wa vilabu vya michezo ya SHIMIWI,yatakayofanyika mjini Morogoro  Februari 24-28 mwaka huu.
Hayo yalisemwa na Kaimu Katibu Mkuu wa SHIMIWI Bw.Moshi Makuka mapema leo ofisini kwake alipokuwa akitoa taarifa ya utekelezaji wa mikakati ya shirikisho hilo kwa mwaka wa fedha 2013/2014.

Bw.Makuka alifafanua kuwa lengo la mafunzo hayo kwa viongozi wa vilabu ni kuwajengea uwezo wa kuongoza shughuli za michezo,kuwapa ufahamu zaidi juu ya  katiba,sheria na kanuni za michezo ya SHIMIWI na kuwapa uelewa wa namna ya kutoa huduma ya kwanza katika viwanja vya michezo.
Akielezea sababu za Shirikisho hilo kuandaa mafunzo hayo Bw.Makuka alisema kuwa mafunzo hayo yanafanyika kutokana na na changamoto zilizojitokeza katika mashindano ya SHIMIWI ya miaka iliyopita  ambapo baadhi ya viongozi huvunja sheria na kanuni za michezo.

“Baadhi ya viongozi wa SHIMIWI katika Wizara ,Idara Zinazojitegemea,wakala wa Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) wamekuwa wakilalamikiwa kutumia wachezaji ambao sio watumishi wa umma .”alisema Bw.Makuka.

Pia,aliongeza kuwa mafunzo hayo yatawahamasisha viongozi wa ofisi za Serikali zilizoshindwa kushiriki katika michezo ya mwaka jana ili iweze kushiriki mwaka huu kwa kuwa michezo kwa watumishi wa umma hujenga afya,mshikamano na pia huongeza ufanisi mahala pa kazi.

Michezo ya SHIMIWI ilianzishwa kwa madhumuni ya kuwakutanisha watumishi wa Serikali kwa lengo la kujenga na kuendeleza tabia ya ushirikiano,upendo na undugu hivyo hufanyika kila mwaka.Mafunzo haya hufanyika kila mwaka kwa mujibu wa kalenda ya SHIMIWI.

Thursday 13 February 2014

Serikali yapokea Wataalamu wa kujitolea kutoka JAPAN

Naibu Katibu Utumishi  Bw.HAB Mkwizu (kushoto) akizungumza na wataalam wa kujitolea kutoka Japan katika hafla fupi ya kuwakaribisha nchini iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais,Utuimishi mapema leo.Kulia ni Naibu Mkurugenzi wa JICA Tanzania Bw. Shinya Tomonari.
Wataalamu wa kujitolea kutoka JAPAN wakimsikilizsa Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (hayupo pichani) katika hafla fupi ya kuwakaribisha iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Utumishi mapema leo.
Naibu Katibu Mkuu  Utumishi Bw.HAB Mkwizu (wa pili kutoka kulia mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu wa kujitolea  wa fani mbalimbali kutoka Japan waliokuja kutoa huduma katika sekta mbalimbali nchinibaada ya hafla fupi iliyofanyika mapema leo.



TALKING NOTES BY DEPUTY PERMANENT SECRETARY MR. HAB MKWIZU ON THE OCCASION OF WELCOMING JICA VOLUNTEERS 13TH FEBRUARY, 2014

Shinya Tomonari, JICA Senior Representative,
Kazuyoshi Kotake, JICA Volunteer Coordinator,
JICA Volunteers

Good morning!
On behalf of the President’s Office, Public Service Management, I am honored to welcome you all to this Office.
I should say at the beginning, that we honor and appreciate so much the good working relationship between JICA and the President’s Office, Public Service Management

Monday 10 February 2014

Government Communication Officers Trip to Amboni Caves in Tanga

Last week Government Communication Officers had a trip to Amboni Caves in Tanga.It was a wonderful trip for majority of them after seeing different structures built in itself inside the caves.