Tuesday, 25 March 2014
Monday, 24 March 2014
Waandishi wa Habari waaswa kutumia kalamu vizuri,kuelekea upatikanaji wa Katiba Mpya.
Waandishi wa Habari waaswa kutumia kalamu vizuri,kuelekea upatikanaji wa Katiba Mpya.
| Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiongea na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) na kuwaasa kutumia kalamu vizuri hasa katika kipindi hiki cha uandaaji wa katiba mpya kwa maslahi ya Taifa, kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini Dodoma. |
| Mhadhiri katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC) ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Dkt. Ayoub Rioba akiongea na Waandishi wa habari (hawapo pichani) na kueleza kuhusu umuhimu wa Vyombo vya habari hasa katika kipindi hiki cha kuelekea katika uandaaji wa katiba mpya, Kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini Dodoma. |
| Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mwalimu Bashiru Ally akiongea na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) na kuwaasa kutumia nyenzo zote ikiwamo Rasimu ya Katiba, Hotuba ya Mh. Rais Jakaya Kikwete hasa katika kipindi hiki cha kuelekea katika upatikanaji wa katiba mpya. kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini Dodoma. |
| Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Kingunge Ngombale Mwiru akiongea na waandishi wa habari Hawapo Pichani) na kuwaasa wananchi kuwa na umoja hasa katika kipindi hiki cha upatikanaji wa katiba mpya kwa maendeleo ya Taifa na Wananchi kwa Ujumla. kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini Dodoma |
(Picha na Hassan Silayo)
|
Friday, 21 March 2014
VACANCY ANNOUNCEMENT-International Fund for Agricultural Development (IFAD)
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT'S OFFICE
VACANCY ANNOUNCEMENT
Applications are hereby
invited from qualified and experienced Tanzanians for the following Vacant post
advertised by International Fund for Agricultural Development (IFAD)
|
S/N
|
POSITION
|
DEPARTMENT/ ORGANIZATIONAL UNIT
|
DUTY STATION
|
DEADLINE
|
|
1.
|
Director D-2
|
Independent Office of Evaluation Division
|
Rome, Italy
|
9th April
2014
|
|
2.
|
Policy and Technical Advisory Division
|
Rome, Italy
|
10th April 2014
|
|
|
3.
|
Policy and Technical Advisory
Division
|
Rome, Italy
|
10th
April 2014
|
|
|
4.
|
West & Central Africa Division
|
10th
April 2014
|
||
|
5.
|
Policy and Technical
Advisory Division
|
Rome, Italy
|
11th April 2014
|
|
|
6.
|
Policy and Technical
Advisory Division
|
Rome, Italy
|
11th April 2014
|
|
|
7.
|
East & Southern
Africa Division
|
Bujumbura, Burundi
|
16th April 2014
|
|
|
8.
|
MDG
Sub Programme Coordinator
|
East
& Southern Africa Division.
Organizational
unit
|
02nd
May 2014
|
SUBMISSION OF
APPLICATIONS
·
For more information
regarding Terms of References for advertised positions, Qualifications, Tenure
of Appointment and remuneration, please visit the International Fund for
Agricultural Development (IFAD) website: www.ifad.org/jobs
·
All the applications
should be made through the online system only via the following website: https://job.ifad.org . ·
Copy of the
applications should be sent to the following address:-
Permanent Secretary,President’s Office-Public Service Management,P.O. Box 2483,DAR
ES SALAAM.
E-mail:
permsec@estabs.go.tz
WANAFUNZI WALIONUFAIKA NA ELIMU YA JUU WATAKIWA KUREJESHA MKOPO KWA NJIA YA MTANDAO
![]() |
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano
toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa
Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akifafanua kwa waandishi wa habari leo jijini
Dar es salaam kuhusu utaratibu mpya wa wanafunzi walionufaika na mikopo ya
HELSB kurejesha mikopo yao kwa njia ya
mtandao kuanzia mwezi septemba 2013, ambapo
huduma ya M-Mpesa ilianza kutumika na kuanzia April 2014, Aitel Money itatumika
pia kama mfumo wa kurejesha mikopo hiyo. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya
Habari Maelezo Frank Mvungi.
|
![]() |
| Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawsiliano toka bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu Bw. Cosmas Mwaisobwa (katikat)i akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu idadi ya wanafunzi walionufaika na mikopo ambapo kufikia mwaka 2013 wanafunzi 97,348 walikuwa wamenufaika na mikopo ya bodi hiyo. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Frank Mvungi na kushoto ni Afisa Habari Mwandamizi toka bodi hiyo Veneranda Malima. |
Na Frank Mvungi-Maelezo
Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) imeanzisha utaratibu mpya wa kurejesha mikopo
kwa njia ya mtandao.
Hayo yamesemwa na
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wabodi hiyo Cosmas
Mwaisobwa wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Akifafanua Mwaisobwa
amesema kuanzia mwezi Septemba, 2013 Bodi hiyo ilianzisha utaratibu mpya wa
kurejesha mikopo yao kupitia huduma ya M-Pesa.
Mwaisobwa alisema
katika kuimarisha mfumo wa urejeshaji mikopo kuanzia mwezi april, 2014
walionufaika na mikopo hiyo wataweza kurejesha kupitia Aitel Money.
Kabla ya kuanza kutumia
huduma ya M-pesa, mnufaika wa mkopo anapaswa kuwasiliana na HELSB ili kupata
mambo muhimu ambayo ni Taarifa ya Mkopo, (Loan statement) Kiwango cha
marejesho, (Loan instalments) na Namba ya kumbukumbu (Loan number).
HELSB pia hutoa msaada
kwa waombaji wa mikopo wanaopata matatizo madogo madogo wakati wa kujaza fomu
kwa kutumia dawati maalum la msaada kwa wateja ambapo msaada hutolewa kwa njia
ya simu siku za Jumatatu hadi Jjumaa kuanzia saambili asubuhi hadi saa 2 usiku.
Mwaisobwa alibainisha
baadhi ya changamoto zinazoikabili HELSB ni imani potofu iliyoenea kwamba
mikopo hiyo ni ruzuku na ushirikiano hafifu na baadhi ya waajiri katika
urejeshaji mikopo.
Mwaisobwa alitoa wito
kwa wale wote walionufaika na mikopo kurejesha mikopo hiyo kwa wakati ili kutoa
fursa kwa wahitaji wengine kukopeshwa.
Tangu kuasisiwa kwake, Bodi
hiyo imefanikiwa kutoa mikopo kwa idadi kubwa ya wanafunzi ikilinganishwa na
hali ilivyokuwa kabla bodi kuanzishwa, ambapo wanafunzi wameongezeka kutoka
wanafunzi 42,729 mwaka 2005/2006 hadi wanafunzi 97,348 mwaka 2012/2013,ongezeko
hili ni sawa na wastani wa 10.4% kwa mwaka.
Subscribe to:
Posts (Atom)


