![]() |
| Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Evod Mmanda bungeni Mjini Dodoma Leo. |
Monday, 10 March 2014
Matukio Bunge la Katiba leo Mjini Dodoma
Saturday, 8 March 2014
Siku ya Wanawake Duniani ilivyofana jijini Dar es Salaam
| Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia akihutubia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es salaam |
| Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Said Meck Sadiq akihutubia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam |
| Kikundi cha burudani cha Machozi Theatre kikitoa burudan kwenye maadhimisho hayo. |
| Baadhi ya watumishi wa Idara ya Uhamiaji wakiwa kwenye maandamano |
| Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa tayari kwa kuanza maandamano kuelekea viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam |
Ofisi ya Rais-Utumishi yampongeza Balozi Mteule Dkt. Aziz Mlima
Thursday, 6 March 2014
Wanafunzi watakiwa kuchukua hatua wanapokutana na aina yeyote ya udhalilishaji wa kijinsia.
Subscribe to:
Posts (Atom)





